Hivi Ndivyo JUX Alivyomnasa VANESSA MDEE

Msanii JUX amefunguka na kusimulia namna alivyoweza kumnasa na kumuweka kwenye himaya yake ya mapenzi Vanessa Mdee na kusema kuwa kwa mara...

Msanii JUX amefunguka na kusimulia namna alivyoweza kumnasa na kumuweka kwenye himaya yake ya mapenzi Vanessa Mdee na kusema kuwa kwa mara ya kwanza aliuonana na Vanessa Mdee akiwa studio,na hapo ndipo walipoanza kujenga taratibu mahusiano yao.

Kupitia kipindi cha Mkasi Jux amesema kuwa yeye lengo lake kubwa lilikuwa ni kufanya wimbo ambao alipenda kumshirikisha msanii wa kike anayeweza rap hivyo Pancho Latino alimsikilizisha kazi za Vanessa Mdee na akamkubali na kuamua kufanya naye kazi.

“Mara ya kwanza nimekutana na Vanessa Mdee Studio kwa Pancho Latino nilienda kufanya kazi pale na nikawa nahitaji msichana ambaye ni mzuri kwenye kurap ili nimshirikishe hivyo basi Pancho akaniambia kuna msichana yupo mzuri, akanisikilizisha kazi zake nikazipenda japo niliona kama mzungu sana na kumwambia Pancho huyu tutambadilisha kidogo, hivyo kesho yake nilipoenda studio nikakutana na Vanessa pale tukafanya kazi tulipomaliza ilibidi nimrudishe kwao kwani kipindi hicho alikuwa hana usafiri”. Alisema Jux.
Jux aliendelea kusimulia na kusema kuwa walikuja kukutana siku nyingine kwenye show ambapo wote walialikwa na siku hiyo ndipo alipata nafasi ya kumuangalia vizuri na kugundua kuwa Vanessa ni mtu wa aina yake. “Siku ya pili tulikutana naye kwenye show baada ya ngoma zake kutoka na kusikika mtaani, siku hiyo nilimwangalia hivi Vanessa nikawa sijielewi elewi ila nilipata nafasi ya kuongea naye kwa muda mfupi sana ila maongezi yale yalikuwa na maana sana, sasa kulikuwa na kidude fulani cha kijani mkononi alikuwa amekivaa nikakiomba akaniambia Jux this is very special siwezi kukupa bhana. Lakini kesho yake aliniita niende kuchukua kile kidude lakini mambo yangu yakawa mengi nikashindwa kwenda, hivyo kile kidude ndiyo kilikuwa chanzo cha mimi na Vanessa” alisimulia Jux.

COMMENTS

Name

Beauty,5,Entertainment,53,Exclusives.,2,Fashion,1,Gossip,9,Health,1,Jobs,3,Lifestyle,4,makala,225,National,88,News,42,Others,126,Photos,13,Politics,47,Simulizi,6,Sports,23,Video,12,World News,6,
ltr
item
YETU BLOG | Kenya: Hivi Ndivyo JUX Alivyomnasa VANESSA MDEE
Hivi Ndivyo JUX Alivyomnasa VANESSA MDEE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirl680wjx9a2LhFg_GIVxT0I6LyDhroefFTwzGE_G8TBuy8N-NT-WzX2MbgifDkGnFfFwdCWfOMWA_grlk6xTKeoxlsMCnwW5YmFrCagTHoADPlrgP1OPIQs0_cDmiAVXHrlx9oY36wu_E/s400/Vanessa-Mdee-1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEirl680wjx9a2LhFg_GIVxT0I6LyDhroefFTwzGE_G8TBuy8N-NT-WzX2MbgifDkGnFfFwdCWfOMWA_grlk6xTKeoxlsMCnwW5YmFrCagTHoADPlrgP1OPIQs0_cDmiAVXHrlx9oY36wu_E/s72-c/Vanessa-Mdee-1.jpg
YETU BLOG | Kenya
https://yetublog1.blogspot.com/2016/05/hivi-ndivyo-jux-alivyomnasa-vanessa-mdee.html
https://yetublog1.blogspot.com/
https://yetublog1.blogspot.com/
https://yetublog1.blogspot.com/2016/05/hivi-ndivyo-jux-alivyomnasa-vanessa-mdee.html
true
3974428478497954973
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy