Siku chache tu baada ya sakata ya wizi wa zaidi ya shillingi Bilioni tano kufichuliwa katika Wizara ya Afya, huenda wizara hiyo ikakumbwa ...
Siku chache tu baada ya sakata ya wizi wa zaidi ya shillingi Bilioni tano kufichuliwa katika Wizara ya Afya, huenda wizara hiyo ikakumbwa tena na sakata nyingine ya kupotea kwa zaidi ya shilingi Bilioni 35 kupitia kusambazwa kwa mashine za matibabu kutoka kwa serikali kuu hadi kwenye hospitali za kaunti
Kiongozi wa chama cha Amani Congress Musalia Mudavadi amedai kwamba mradi wa serikali kuu kusambaza mashine za matibabu kwa hospitali za kaunti ilikuwa njama ya kufyonza waKenya ambao watalazimika kulipa shilingi Bilioni tano kila mwaka kugharamia vifaa hivyo.